Rais Samia Atembelea Banda la Azania Bank – Mdhamini Mkuu wa Nanenane
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka Kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Bi. Esther Mang’enya alipotembelea Banda la Benki hiyo kwenye Maonesho ya Nanenane jijini Dodoma. Azania Bank ndiye Mdhamini Mkuu wa Maonesho hayo yaliyohitimishwa na Mh. Rais katika kilele Cha Nanenane hii leo.