Samwel Eto’o Kuzindua Uwanja wa Mpira Coco Plaza Leo, Dar
Balozi wa Castle Lager Africa, Samwel Eto’o jana amezungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kiwasili nchini Tanzania katika Hotel ya Ramada jijini Dar es Salaam jioni ya jana kwa uzinduzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu utakaofanyika leo maeneo ya Coco Plaza jijini Dar es Salaam.
Comments are closed.