Samwel Eto’o Kuzindua Uwanja wa Mpira Coco Plaza Leo, Dar

 

Balozi wa Castle Lager Africa, Samwel Eto’o (kulia) akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kiwasili nchini Tanzania kwa uzinduzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu utakaofanyika leo maeneo ya Coco Plaza jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Meneja wa Castle Lager, Pamela Kikuli na Balozi wa Castle Lager Tanzania, Ivo Mapunda.

Meneja wa Castle Lager, Pamera Kikuli (katikati), Balozi wa Castle Lager Africa, Samwel Eto’o (kulia) na Balozi wa Castle Lager Tanzania, Ivo Mapunda wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuwasili wa Balozi wa Castle Lager, Africa, Samwel Eto’o na kuzungumza na waandishi wa Habari katika Hotel ya Ramada jijini Dar es Salaam jioni ya jana.

Balozi wa Castle Lager Africa, Samwel Eto’o (kulia) na Balozi wa Castle Lager Tanzania, Ivo Mapunda wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Balozi wa Castle Lager Africa, Samwel Eto’o jana amezungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kiwasili nchini Tanzania katika Hotel ya Ramada jijini Dar es Salaam jioni ya jana kwa uzinduzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu utakaofanyika leo maeneo ya Coco Plaza jijini Dar es Salaam.

Loading...

Toa comment