The House of Favourite Newspapers

Sanchez Rasmi Ndani ya Man U, Mashabiki Meno Nje

Baada ya mshambuliaji Alexis Sanchez kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Man United. Sanchez, 29, anakuwa na mshahara mkubwa zaidi katika kikosi cha Man United inafikia pauni 600,000 kwa wiki. Yaani £350,000 ni mshahara, £100,000 ni haki ya picha na £144,000 bonas.
Kama ni mshahara pekee bila vitu vingine, bado yeye anaongoza.
WANAOONGOZA KWA MSHAHARA MAN UNITED NA MAN CITY
Sanchez: £350,000.
Paul Pogba – £290,000,
Romelu Lukaku – £250,000
Zlatan Ibrahimovic – £220,000

Manchester City:
Sergio Aguero na Yaya Toure -£220,000.
HAKI YA PICHA – £100,000(KWA WIKI)
BONAS-£144,000 (KWA WIKI)

Comments are closed.