The House of Favourite Newspapers

Sanchi kupandikiza pacha mwezi ujao

MREMBO mwenye umbo mtikisiko, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema mwezi ujao ndio anatarajia kwenda kupandikiza pacha watatu nchini Afrika Kusini.  Akichonga na Za Motomoto News, Sanchi alisema kwa muda mrefu alikuwa na ndoto ya kufanya hivyo lakini anashukuru muda wake umefika kwa hiyo anatarajia kufanya hivyo mwezi ujao.

“Kila kitu kipo sawa na mpenzi wangu naye ananipa sapoti  kubwa kwenye hilo na ndiye nitasafiri naye kwa sababu anajua nilikuwa nikitamani pacha watatu kwa muda mrefu namuomba Mungu tu anisaidie,” alisema Sanchi.

Comments are closed.