Sarah wa Harmonize Amwaga Pesa Kwa Wolper (Picha +Video)

Mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva kutoka Label ya WCB, Harmonize, Sarah maarufu kama Sarah Mzungu akipanda stejini The Life Club, iliyoko Mwenge, kumtunza staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper,  usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.

… Sarah akimwaga pesa kwa Wolper.

…Akimwendea Wolper.

…Akianza mchakato wa kumwaga minoti.

Usiku wa Desemba 7, 2018,  mwigizaji wa Bongo Movie na mwanamitindio, Jaqueline Wolper,  alisherehekea siku yake ya kuzaliwa katika ukumbi wa Life Club Mwenge ambapo wapenzi Sarah na Harmonize walinogesha sherehe hiyo na Sara aliamua kumuonyesha Wolper ufundi wa kukata mauno.

Wolper na Harmonize waliwahi kuwa wapenzi siku za nyuma kabla ya kumpata Sarah.

PICHA NA MUSA MATEJA | GPL

 

Loading...

Toa comment