Bruce Melodie agonga kolabo na Diamond Platnumz
Na MWANDISHI WETU
MSANII wa muziki nchini Rwanda, Bruce Melodie ametoa kibao kikali kinachokwenda kwa jina la POM POM.
Katika wimbo huo, Bruce Melodie amepiga kolabo na wasanii wakali Afrika, Diamond Platnumz kutoka hapa Bongo na…
