The House of Favourite Newspapers

Semina ya mbinu za kuyafikia mafanikio yako

0
 james
KATIKA SEMINA HII WAHUDHURIAJI WATAFUNDISHWA;
-Jinsi kuuza bidhaa au Huduma yako kutumia mitandao ya kijamii
– Jinsi unavyoweza kutumia tovuti
– Nitajibu swali la ‘kwa nini watu wengi wanashindwa kuuza bidhaa mtandaoni hadi wanaishia kukata tamaa’ na nini cha kufanya ili upate wateja wengi na wa kudumu mtandaoni!
– Jinsi ya kuanza biashara mwaka huu hata kama huna pesa ya mtaji.
Watu 200 wa kwanza watapata CD yangu ya bure ya mbinu 12 za uhakika za kupata mtaji. Kwa uchakavu wako wa sh 10,000/- utapata madini adimu sana Jumamosi hii! Piga simu sasa uweze kuweka nafasi yako 0753 854760 au 0655 846697.
2016 your year of BREAKTHROUGH!
Leave A Reply