The House of Favourite Newspapers

Sera ya Uchumi Yawa Gumzo kinyang’anyiro cha Urais nchini Kenya

0
William Ruto mgombea Urais nchini Kenya

WAGOMBEA Urais nchini Kenya, Ruto na Odinga waahidi kuleta mabadiliko nchini Kenya kwenye masaibu yanayowakumba wakenya kwa sasa.

 

Theluthi moja ya vijana nchini Kenya wakiwa wana tatizo la kukosa ajira, pamoja na gharama ya maisha kupanda nchini humo.

 

Wagombea Urais nchini humo, wameahidi kuleta neema kwa wananchi wao kwa kuleta maono jinsi ya kuyashughulikia matatizo yanayowakumba wananchi wao.

Mwanasiasa mkongwe na mgombea Urais nchini Kenya Raila Odinga

Ruto ambaye anajiita ‘Hustler in chief’ ameahidi kuingiza shilingi bilioni 200 za Kenya ($1.68bn) katika uchumi ili kuunda nafasi za kazi, Ingawa pesa hizo haijulikani ni lini zitatoka,Ruto ameanzisha kampeni za kunyanyua  uchumi kama wagombea wengine wa nafasi ya Urais wanavyosema.

 

Pia katika kampeni ya Odinga amehaidi kulipa shilingi milioni 6,000 za Kikenya ($50) kwa kaya maskini zilizo hatarini kote nchini Kenya katika siku za kwanza 100 Ofisini.

 

Leave A Reply