The House of Favourite Newspapers
gunners X

Serengeti Boys Waitembelea Sober House ya Bagamoyo

NA MUSSA IBRAHIM

BAGAMOYO: Wachezaji wa Timu ya Soka ya Taifa ya Vijana Chini ya Miaka 17 (Serengeti Boys) wamefanya ziara katika Kituo cha Kutibu Waathirika wa Matumizi ya Dawa za Kulevya, Sober HouseBagamoyo  Life & Hope  Rehabiliation Organisation iliyoko wilayani humo.

Katika ziara hiyo yenye lengo la kuwaasa vijana kuachana na matumizi ya dawa za kulevya, Mgeni Rasmi ni Kamishina wa Tume ya Kupambana na Madawa ya Kulevya nchini, Rogers Sianga.

Mgeni Rasmi ni Kamishina wa Tume ya Kupambana na Madawa ya Kulevya nchini, Rogers Sianga akisalimiana na Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum.

Vijana wa Sober House Bagamoyo.

Serengeti Boys wakiwa wameketi.

Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Tasuba wakitoa burudani ya igizo la madawa ya kulevya kwa mgeni rasmi.

PICHA ZOTE NA IBRAHIM MUSSA | GLOBAL PUBLISHERS

Comments are closed.