Serengeti Migration Marathon Ilivyotimua Vumbi mkoani Mara
Share
Mkuu wa wilaya ya Bunda, Joshua Nassari wa nne kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wadau waliosaidia mbio za Serengeti Migration Marathon, wa kwanza kulia waliokaa ni Katibu wa Riadha Mkoa wa Mara, Vedastus Makaranga, Meneja Mauzo wa Kampuni ya Serengeti Breweries Mara na Simiyu Jay Jay Mwarabu Gombanilla, Mwenyekiti wa riadha Mara, Deogratias Misana,na wa kwanza kushoto ni Geofrey Werema muandaaji wa mbio, Said Babu Mwenyekiti wa rufaa riadha Wilaya na Katibu Tawala Wilaya ya Serengeti, Cosmas Qamara. Mbio hizo zilifanyika Viwanja vya Sokoine Mugumu Julai 30 mwaka huu. Washiriki wa mbio za Serengeti Migaration Marathon wakijiandaa kukimbia kwenye Viwanja vya Sokoine Mugumu tarehe 30 Julai.
Haji Luli toka Mwanza mshindi wa mbio za Serengeti Marathon Migration Marathon kilometa 10 akielekea kumalizia.
Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Joshua Nassari kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Dk Vicent Mshinji akimkabidhi medali mshindi wa mbio kilometa 10 Ivona Juma toka Serengeti.
Meneja Mauzo Kanda ya Mara na Simiyu Kampuni ya Serengeti Brieweris, Jay Jay Gambanilla akifafanua jambo kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa mbio za Serengeti Migration Marathon.