The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aridhia Nyongeza ya Mshahara, Aongeza kwa Asilimia 23.3

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Haasan ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara ikiwemo kima cha chini kwa watumishi wa Umma kwa 23.3%

Leave A Reply