The House of Favourite Newspapers

Serikali Yaipongeza DCB kuwezesha Miradi ya Vicoba

0
Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng’i Issa ( wa pili kulia) akikata utepe kwa niaba ya Naibu waziri wa Fedha, Ashatu Kijaji wakati wa uzinduzi wa miradi ya kilimo, ufugaji, makazi na viwanda vidogovidogo wa wanavicoba wa Asasi isiyo ya kiserikali inayotoa usimamizi na uangalizi wa Vicoba (UYACODE) uliofanyika katika kijiji cha Malivundo, Chalinze mkoani Pwani jana. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Geofrey Ndalahwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Uyacode, Agnes Mangula, Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi hiyo, Michael Mgawe na Mkurugenzi wa Biashara wa DCB, Zacharia Kapama.
..Zoezi  la kukata utepe likiendelea.
Beng’i Issa (kulia) akishikana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Geofrey Ndalahwa  wakati wa Uzinduzi wa miradi ya kilimo, ufugaji, makazi na viwanda vidogovidogo wa wanavicoba wa Asasi isiyo ya kiserikali inayotoa usimamizi na uangalizi wa Vicoba (UYACODE) uliofanyika katika kijiji cha Malivundo, Chalinze mkoani Pwani.
Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng’i Issa (kulia) akishikana mikono na Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya DCB, Zacharia Kapama wakti wa uzinduzi rasmi wa miradi ya kilimo, ufugaji, makazi  na viwanda vidogovidogo wa wanavicoba wa Asasi isiyo ya kiserikali inayotoa usimamizi na uangalizi wa Vicoba (UYACODE) uliofanyika katika kijiji cha Malivundo, Chalinze mkoani Pwani jana. Wengine kutoka kushoto ni, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Uyacode, Agnes Mangula na Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa.
Leave A Reply