The House of Favourite Newspapers

Serikali Yasema Haiitambui Airtel Africa Ltd

Serikali imesema haitambui mchakato wa Kampuni ya Airtel Tanzania PLC kukaribisha mwanahisa mpya, Airtel Africa Ltd ndani ya kampuni hiyo. Serikali imesema, maamuzi ya uuzaji, uhamishaji hisa au ukaribishaji wa wanahisa wapya lazima uhusishe pande zote, Serikali na Bharti Airtel.

Comments are closed.