The House of Favourite Newspapers
gunners X

Serikali Yatangaza Nafasi 17,710 za Kazi MDAs & LGAs, Mwisho maombi Oktoba 29

0

Serikali imetangaza nafasi mpya 17,710 za kazi kwa taasisi za kitaifa na halmashauri (MDAs & LGAs). Angalia orodha ya nafasi, sifa, na jinsi ya kuomba kabla ya tarehe 29 Oktoba 2025. Pata maelezo kamili na hati za maombi hapa chini. Bonyeza link hapa chini kusoma zaidi.

Mwisho wa kutuma maombi: 29 Oktoba 2025. Maombi yaliyopokelewa baada ya tarehe hii hayatazingatiwa.

-MWALIMU DARAJA LA IIIA (TEACHER GRADE IIIA) – Nafasi 3018
-MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II) – Nafasi 131
-MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT GRADE II) –
Nafasi 126
-AFISA TAWALA DARAJA LA II (ADMINISTRATIVE OFFICER GRADE II) – Nafasi
32
-AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) – Nafasi 224
-MHANDISI KILIMO DARAJA LA II (AGRO ENGINEERS) – Nafasi 24
-AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II) –
Nafasi 35
-AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS) –
Nafasi 292
-MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT GRADE II ) – Nafasi 62

Leave A Reply