The House of Favourite Newspapers

Shabiki Simba Avalishwa Dela, Khanga & Wigi, Apakwa Wanja

0

AHADI ni neni, ukiahidi lazima ulipe, utani wa Simba na Yanga.. Shabiki wa Simba katika Kijiwe cha Tatedo Mbezi, Dar es Salaam ametimiza ahadi yake kwa mashabiki wa Yanga baada ya kukubali kupakwa wanja, lipsticks na kumvalisha dera na hatimaye kumtembeza mtaani kama inavyoonekana kwenye picha.

 

 

Hii ilikuwa ni ahadi aliyoitoa kwa mashabiki wenzake wa Yanga kuwa iwapo Yanga atashinda katika mechi ya Watani wao  wa Jadi dhidi ya Simba (ambayo ndiyo timu anayoishabikia) basi apakwe wanja, lispick, avalishwe khanga, wingi na dela.

 

Mechi hiyo iliyopigwa juzi Jumamosi, Septemba 25, 2021 katika Dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam ilimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 huku Yanga wakinyakua Ngao ya Jamii.

 

Leave A Reply