The House of Favourite Newspapers

Shabiki Simba Kisugu Afunguka Maandalizi ya Msimu mpya

0


Shabiki wa Klabu ya Simba Kisugu amefunguka maandalizi ya Msimu mpya wa Ligi Kuu ya Bara ambapo ameeleza kuwa endapo wapinzani wao watafanya mambo tofauti tofauti basi na wao watafanya vivyo hivyo ili waweze kufanya vizuri zaidi yao.

Leave A Reply