Shabiki wa Chris Brown anyoa mtindo wa kava ya Loyalty

chris-brownMtindo alionyoa shabiki huyo.

IKIWA ni saa chache baada ya staa wa muziki wa Pop duniani, Chris Brown jana Ijumaa Desemba 18 kuachia albamu yake mpya iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu na mashabiki zake inayotambulika kwa jina la Royalty, mmoja wa mashabiki zake ameamua kunyoa nywele zake kwa mtindo unaoonesha picha iliyopo kwenye kava ya album ya Chris Brown ‘Loyalty’.

Chris-brown-royalty-album-coverPicha hiyo inamuonesha Chris Brown akiwa amembeba mwanaye aitwaye Loyalty.


Loading...

Toa comment