The House of Favourite Newspapers

Shabiki Wa Yanga Auawa Kwa Kuchomwa Visu Tumboni Baada Ya Mechi, Ndugu Wasimulia -Video

0

Familia ya shabiki wa Yanga, Amani Isaya Makasi aliyeuawa kwa kuchomwa kisu wakati akisherehekea ushindi wa timu yake, imeomba msaada kwa mashabiki na uongozi wa timu hiyo kuisaidia kusafirisha mwili wa marehemu.

Global TV imefika eneo la tukio na kuzungumza na ndugu wa marehemu, ambao wamesimulia mkasa mzima ulivyokuwa.

 

 

Leave A Reply