The House of Favourite Newspapers

Shangwe Za Krismasi Kutikisa Dar Live

Ukumbi wa burudani wa Dar Live Mbagala-Zakhem, jijini Dar wanakuletea shangwe za Krismasi siku ya Jumatatu siku hiyo si ya kukosa kutakuwa na burudani kutoka kwa Jahazi Modern, Man Fongo, Gigy Money, Asali Kiuno, Mc Darada, Wakali Dancers na wengine wengi.

Pia Msaga Sumu atazindua albam yake mpya ya Mwanaume Mashine.

Kiingilio 5,000/-

HADITHI: SIKU ZA MWISHO ZA UHAI WANGU – SEHEMU YA 1 (Audio)

Nakuletea dakika 15 za kwanza za simulizi hii tamu ya SIKU ZA MWISHO ZA UHAI WANGU. Ukitaka kuisikiliza simulizi hii Install #GlobalPublishersApp sasa. Utasoma na kusikiliza kitabu chote kuanzia sehemu ya kwanza hadi ya mwisho bureeeee!

Android: Bofya ==>http://bit.ly/2AAQe1d
iOS: Bofya ==>http://apple.co/2Assf4M

Comments are closed.