Watoto mbalimbali kutoka viunga vya Jiji la Dar es Salaam leo wanasherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya kwa Shangwe ndani ya Viwanja vya Burudani Dar Live Mbagala Zakhem Dar.
Katika kusherehekea mwaka mpya, watoto hao wamefika ndani ya Dar Live wakiwa na wazazi wao ambao wamepata burudani mbalimbali kutoka katika kikundi cha nguoma na kufurahia michezo mbalimbali ikiwemo kuogekea, kuendesha baiskeli na bembea.
NA DENIS MTIMA | GPL
Comments are closed.