The House of Favourite Newspapers

Sheikh Kandauma Awaonya Wanaofanya Mchezo Makka – Video

Sheikh Ahmed Kandauma amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaoenda kwenye miji mitakatifu ya Makka na Madina na kufanya michezo ya kutafuta umaarufu.

Sheikh Kandauma amesema wote wanaofanya hivyo wanaudhalilisha Uislam na watakuja kujibu mbele ya Mungu wao.