The House of Favourite Newspapers

ads

Sheikh Mkuu Dar : Awachana Baraza La Maulamaa… ”Unamtetea Muhuni Kwa Kutaka Mke Ambaye Hamtaki?” – Video

0
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum.

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amezungumzia juu ya sakata linaloendelea kuhusiana na talaka ya Dk Mwaka na mkewe huku akieleza kutoridhishwa na onyo alilopewa likidaiwa limetoka kwenye Baraza la Ulamaa.

Aidha amewataka kutetea maslahi ya dini na siyo mhuni mmoja anayemtaka mwanamke ambaye hamtaki na sababu za kufanya hivyo anazieleza.

Leave A Reply