The House of Favourite Newspapers

Shemeji Yangu Alinisingizia Nimejaribu Kumbaka Ili Niachane na Mke Wangu

0

Kamwe siwezi kusahau miaka kama sita iliyopita ambapo shemeji yangu alinifungulia kesi mahakamani kuwa nilitaka kumbaka jambo ambalo sio la kweli na wala sijawahi hata kuwa nazo hilo.

 

Basi nilikamatwa na kufikishwa mahakamani, nilisomea mashtaka ambayo yote niliyakana na kupelekwa rumande, baadaye nilikuja kupata dhamana na kuachia jambo ambalo lilinipa tumaini ya kushinda kesi hiyo ngumu kuwahi kutokea.

 

Lakini naye mke wangu waliamua kuondoka nyumbani na kuniambia mimi ni mtu ambaye siridhiki kwa sababu nimetaka kutembea hadi na dada yake, kauli hiyo ilinitoa machozi kutokana sikufanya kitendo hicho.

 

Siku hiyo nilimuomba sana asiondoke maana hana uwakika kama ni kweli nimefanya hivyo, alisema dada yake anamfahamu vizuri na kamwe hawezi kuongea uongo mkubwa kiasi hicho, hivyo ni lazima itakuwa ni kweli.

 

Basi mke wangu aliondoka na kubaki mwenyewe, ilikuwa ni aibu kubwa sana kwangu, habari hizo tayari zilikuwa zimeshasambaa mtaani na kwenye vyombo vya habari.

 

Rafiki yangu mmoja alipata habari hizo na kuja nyumbani kunitembelea, nilimueleza ukweli wa jambo hilo na kuahidi kuwa ataisimamia kesi hiyo hadi kuhakikisha nashinda dhidi ya uongo huo.

 

Katika maongezi yetu zaidi aliniambia kuna mtu anaitwa Dr. Kiwanga niwasiliane naye kwani atawezesha sisi kushinda kesi hiyo kwa urahisi zaidi na amekuwa akiwashauri wateja wake kufanya hivyo kabla ya kuanza kusimamia kesi zao.

 

Alichukua simu yake na kunipatia namba ya Dr. Kiwanga, niliwasiliana naye na kumuomba sana anisaidie niweze kuondokana na aibu hiyo. Basi alinihakikishia kesi hiyo ni nyepesi sana na nina kwenda kuishinda mchana kweupe siku sio nyingi.

 

Basi ilifika siku ya hukumu na Jaji akatoa hukumu kuwa sina hatia, nilifurahi sana kuachiwa huru maana hapo jina langu linakuwa limesafishwa kutoka mtu ambaye nilioneka kuwa mbakaji aliyevuka mipaka, inawezekanaji unambaka shemeji yako!

 

Kilichokuja kunishangaza ni pale niliporudi nyumbani na kumkuta mke wangu, nilimuuliza mbona umerudi, akaniambia pole najua umeshinda kesi ila samahani sana.

 

Nikamuuliza samahani ya nini tena?, akajibu amebaini kuwa dada a yake alinifungulia kesi ya uongo ili tuachane halafu nikaolewe na mwanaume mwingine, Mke wangu alinisisitiza nisamehe kwa moyo mweupe na tuendelee na maisha yetu, kwa kuwa nilimpenda sana niliamua kusamehe.

 

Ukiachana na hayo, Dr. Kiwanga anaweza kukufanya kuwa na  bahati maishani mwako, kushinda bahati nasibu, kuondokana na mikosi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuondokana na migororo na ndoa na kuongeza mauzo katika biashara.

 

Kumbuka Dr. Kiwanga anaweza kukusaidia kupata ujauzito, kumlinda mume au mke, kumalima migorogoro ndani ya ndoa, kukupa mvuto wa kimapenzi na mengineo. Kwa mawaziliano zaidi mtumie barua pepe; [email protected], tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.

 

Leave A Reply