The House of Favourite Newspapers

Shetta; Uislam Pembeni, Hereni, Tatuu Fresh tu

0

10919586_774325442655896_866572755_n
Musa mateja

Ukiucheki mwili wa Mwanamuziki Shetta, sehemu kubwa utaona umepambwa na michoro ya tatuu huku sikioni akiwa na hereni.

Hilo la tatuu limezoeleka kwa wasanii wengi lakini la hereni limekuwa likionekana la ajabu hasa kwa msanii wa kiume tena wa Kiislam kama Shetta.

Juzikati mwandishi wetu alipiga stori na msanii huyo ambaye hupenda kuitwa Baba Khaila na alipoulizwa juu ya uamuzi wake huo wa kujichafua mwili wake kwa michoro hiyo pamoja na kuvaa hereni alisema:

SHETAGLOBALTV4“Mbona siyo ishu kabisa kwa msanii kama mimi, huu ni ugonjwa wangu. Nikiwa hivi huwa najisikia poa sana, sidhani kama ni tatizo.”

Leave A Reply