The House of Favourite Newspapers

Shigongo: Dunia Imemeza Watu wengi Sana Wenye Akili – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa Dunia imemeza watu wengi sana na wengi wao ni wenye akili.

Shigongo ameyasema hayo alipohudhuria katika Tamasha la Faraja ya Tasnia leo Septemba 7, 2024 eneo la Leaders Club jijini Dar es salaam.