The House of Favourite Newspapers

Shilole Amlilia Masogange, Adai Juzi tu Alimpelekea Oda ya Chakula – Video

Msanii wa filamu na muziki, Shilole, amesema ilikuwa ngumu kwake kuamini kwa mara ya kwanza pale alipopokea taarifa za kifo cha mwanamitindo na video queen, Agness Masogange, kwani siku chache nyuma kabla ya mauti kumkuta alimpelekea chakula na wakapata muda wa kunywa pamoja.

 

Shilole amesema yupo tayari kwa chochote ambacho atahitajika kufanya kwa sasa kwa ajili ya kumpumzisha rafiki yake huyo kipenzi.

VIDEO: SHILOLE AKIFUNGUKA

Comments are closed.