The House of Favourite Newspapers

Shilole: Umama N’tilie Umeniteka Kuliko Muziki

0
Zuwema Mohammed ‘Shilole.

 

MWANAM-UZIKI wa miondoko ya mduara, Zuwema Mohammed ‘Shilole’ ameweka wazi kuwa huenda akaukacha muziki siku za usoni kutokana na kunogewa na biashara yake ya kuuza chakula katika mgahawa wake.

Akizungumza na Risasi Vibes, Shilole alisema anaona biashara yake hiyo inampa faida nyingi kuliko uigizaji na hata muziki anaofanya, hivyo kutokana na maisha magumu ni bora kufanya kitu kinachomu-ingizia kipato.

“Huku kwa mama ntilie naona kunanilipa zaidi ya sehemu nyingine ambazo nipo, sasa ni bora kufanya kitu ambacho kina kuingizia kipato kuliko kung’ang’ania sehemu ambayo haikulipi au inakulipa kidogo tena kwa kusubiri,” alisema Shilole.

 Stori: Imelda Mtema

Leave A Reply