The House of Favourite Newspapers

Shinda na Win&Go au Urudushiwe 10% ya Pesa yako

Kuanzia tarehe 01.06.2025 hadi 30.06.2025, wachezaji wote wa Meridianbet wanaocheza Win&Go na kupata hasara ya kuanzia Sh. 1,000 au zaidi kwa siku, watarudishiwa 10% ya hasara yao siku inayofuata kama Win&Go Bonus, hadi kufikia kiwango cha juu cha Tsh. 15,000 kwa siku.

Win&Go ni mchezo wa haraka wa bahati nasibu mtandaoni uliobuniwa na Expanse Studios, unaojumuisha michezo ya kuchagua namba kama Keno, ukiwa na bonasi nyingi na matokeo mapya kila baada ya dakika tano.

Katika mchezo huu, mchezaji huchagua kati ya namba 6 hadi 10 kutoka kwenye jumla ya namba 48, kisha namba 35 huchaguliwa kwa kila raundi. Huku ushindi ukiamuliwa kulingana na ni namba ngapi kati ya ulizochagua zinaonekana kwenye droo.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Tofauti kuu ya Win&Go na michezo mingine ni uwepo wa “gift positions”, nafasi maalum ambayo inaweza kuwa kama vile namba 12 au 23 kwenye droo. Kama moja ya namba zako itaangukia kwenye nafasi hizo, dau lako linarejeshwa hata kama hukushinda. Ikiwa namba zako mbili kati ya zile ulizoweka zitaangukia kwenye nafasi hizo, basi utalipwa mara nne ya dau lako.

Zaidi ya hayo, kuna “Golden Rounds”, raundi maalum za kipekee za bahati nasibu zinazoongeza ushindi wako maradufu.

Hii ni nafasi nzuri ya kujaribu bahati yako tena bila presha, huku ukiwa na nafasi kubwa zaidi ya kushinda katika kila raundi. Iwe wewe ni mchezaji mpya au wa muda mrefu, Win&Go inakuletea burudani ya kipekee, fursa nyingi za ushindi, na sasa, ofa ya kurejeshewa 10% ya hasara yako kila siku kwa kipindi maalum.

Cheza Win&Go kupitia Meridianbet ushinde au urudishiwe sehemu ya dau lako kila siku.