Shinda Nyumba Ilivyozinduliwa Kwa Kishindo Mwanza

mwanza (1)
Mwandishi wetu, Mwanza

Ile Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba iliyozinduliwa wiki iliyopita katika ofizi za Global Publishers zilizopo Bamaga Mwenge jijini Dar na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, imezinduliwa pia mkoani Mwanza.

mwanza (32)Katika uzinduzi huo, uliofanywa na Mwakilishi wa Kampuni ya Global jijini humo Jumatano iliyopita, Ally Masumbuko, wananchi walijaza kuponi zao kushiriki bahati nasibu hiyo.

mwanza (33)Sehemu ambazo wananchi wake walibahatika kujaza kuponi na kuingia katika shindano ni Mkuyuni, Nyegezi, Mkolani, Nyakato Sokoni na National, Buzuruga na Stendi ya Igombe.

mwanza (35)“Kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea anaruhusiwa kununua magazeti ya Uwazi, Championi, Risasi, Ijumaa, Amani na Ijumaa Wikienda na kujaza kuponi zilizopo kwenye magazeti hayo na kadiri unavyojaza nyingi ndivyo unavyojiwekea nafasi ya kushinda. Siyo nyumba tu, kuna zawadi nyingi zitakazotolewa,” alisema Masumbuko.

mwanza (36)mwanza (28)mwanza (2) mwanza (3) mwanza (4)
mwanza (6) mwanza (7) mwanza (8) mwanza (9) mwanza (10) mwanza (11) mwanza (12) mwanza (13) mwanza (14) mwanza (15) mwanza (16) mwanza (17) mwanza (18) mwanza (19) mwanza (20) mwanza (21) mwanza (22) mwanza (23) mwanza (24) mwanza (25) mwanza (26) mwanza (27)

mwanza (30) mwanza (31)


Loading...

Toa comment