The House of Favourite Newspapers

Shinda Nyumba Yanogesha Simba Day Uwanja wa Taifa

0
Wasomaji wa Championi ambao ni mashabiki wa Simba wakiwa na Mr Shinda Nyumba.

BAHATI Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili itafikia tamati mwishoni mwa mwezi huu kwa droo kubwa ambayo mshindi wake ataondoka na zawadi ya nyumba yenye thamani ya mamilioni ya shilingi, ikiwa na samani zake zote ndani.

 

Shabiki wa Simba akipiga picha na Mr Shinda Nyuimba.

Kuona hivyo leo timu nzima ya Bahati nasibu hiyo ilitia timu Uwanja wa Taifa ambapo kulikuwa kunafanyika mchezo wa Simba Day kati ya Simba na Rayon Sports na kutoa zawadi pamoja na kuwalekeza mashabiki wa soka jinsi ya kujaza kuponi hizo.

 

Mashabiki wa Simba wakisoma Gazeti la Championi.

 

Wasomaji wa Championi ambao ni mashabiki wa Simba wakiwa na Mr Shinda Nyumba.

 

Afisa masoko wa Global Publishers, Jimmy Haroub mwenye (kofia) akiwaelekeza mashabiki namna ya kujaza kuponi.

 

Shabiki wa Simba akimtazama kwa mbali Mr Shinda Nyumba

 

Afisa masoko wa Global Publishers, Jimmy Haroub mwenye (kofia nyekundu) akiwaelekeza mashabiki namna ya kujaza kuponi.

 

Mashabiki wa Simba wakipiga picha na Mr Shinda Nyuimba.

 

Mashabiki wa Simba wakipiga picha na Mr Shinda Nyuimba.
Shabiki wa Simba akipiga picha na Mr Shinda Nyuimba.

PICHA NA ISSA MNALLY | GLOBAL PUBLISHERS

Leave A Reply