Shinda Nyumba Yatikisa Kinyerezi Sokoni

Afisa Masoko Jimmy Haroub (kulia)akitoa maelekezo kwa akina mama lishe jinsi ya kukata na kujaza tiketi ya shinda nyumba

…akisisitiza jambo

Afisa Masoko Jimmy Haroub akiwaelekeza jinsi ya kutaka tiketi ya shinda nyumba akina dada Tabata Kinyerezi Sokoni

Afisa Masoko Jimmy Haroub (kushoto) akimuelekeza Walter Gibson wa Kinyerezi Kifuru jinsi ya kujaza kuponi ya shinda nyumba.

…akiwaelekeza kina dada Kinyerezi sokoni

 

Afisa masoko wa Global, Keffa Massaga (kulia) akimjazia kuponi mama Eliza wa kinyerezi

Jimmy Haroub (Kulia) akiwa na dereva wa Bodaboda Tabata

Mfanyabiashara mwenye asili ya kihindi Zamin Manji wa Ilala Dar aliyekutwa Kinyerezi na pomo ya shinda nyumba akisoma kipeperushi kisha kujaza kuponi.

Jimmy Haroub akimuelekeza jambo kinyizo kabla ya kuwapa maelekezo ya kujaza kuponi ya shinda nyumba


Loading...

Toa comment