visa

Shinda Nyumba: Zimebaki siku chache tu, changamkia mjengo huu!

Nyumba-5 Nyumba-6 Nyumba-7 Nyumba-8 Nyumba-9 Nyumba-10 Nyumba-11 Nyumba-12 Nyumba-1 Nyumba-2 Nyumba-3 Nyumba-4

Kushinda nyumba hii mpya yenye fanicha ndani ni rahisi sana! Nunua Gazeti la Championi, Ijumaa, Uwazi, Amani, Ijumaa Wikienda au Risasi, kisha jaza kuponi iliyopo ukurasa wa pili kisha ikate na itume kwenye Ofisi za Global Publishers, Bamaga – Mwenge, Dar es Salaam au kwa wakala wa magazeti aliye karibu nawe popote nchini Tanzania na nyumba hii yaweza kuwa yako Juni 30, 2016!!

….NYUMBA IMEKAMILIKA KWA KILA KITU, CHANGAMKIA BAHATI HII SASA..!

Photo credits: Abdallah Mrisho
Toa comment