The House of Favourite Newspapers

Shinda Tiketi ya Kushuhudia Mpambano Kati ya Roma na Darassa, Mkesha wa Mwaka Mpya, Dar Live

dar-live-darassa-na-roma

Shinda tiketi ya kushuhudia mpambano wa “Nichane Nikuchane” kati ya Roma na Darassa, Dar Live. Ni mkesha wa Mwaka Mpya!
 
Mambo ya kuzingatia
 
1. Like page ya Global Publishers
2. Share tangazo hili mara 5
3. Subscribe YouTube channel ya Global TV Online: https://www.youtube.com/user/uwazi1/featured
4. Comment kwa kuandika namba yako ya simu.
N.B. Ni kwa wenye umri wa miaka 18 na kuendelea

Comments are closed.