The House of Favourite Newspapers

SHINDANO LA MBIO MAGARI LAJERUHI WATANO TANGA – VIDEO

WATU watano wamejeruhiwa katika mashindano ya mbio za magari mkoani Tanga jana Jumapili asubuhi baada ya mmoja wa madereva wanaoshiriki mashindano hayo kushindwa kulimudu gari lake na kuparamia watu waliokuwa kando wakishuhudia mashindano hayo.

 

Baada ya tukio hilo kutokea baadi ya watu walimfuata dereva huyo aliyekuwa na presha kubwa ya kuhofia huenda amesababisha kifo kwa watazamaji hao ambapo walimsihi atulize presha.

Tutumie video ya tukio lolote ambalo limetokea hapo ulipo kupitia WhatsApp 0753 715 779 tutakulipa mkwanja papo hapo.

SHINDANO LA MBIO MAGARI LAJERUHI WATANO TANGA

Comments are closed.