Shombo za Ahmed Ally “Yanga Wamefungashwa, Kule Siyo Kufungwa -Video
Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ahmed Ally leo Novemba 8, 2024 ameamkia kwenye kijiwe cha Kahawa Posta baada ya Yanga kufungwa 3-1 na Tabora hapo jana.
Pia amefunguka na kueleza kuwa Mpanzu ataanza kutumika katika michezo ya hivi karibuni kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa kwanza.