The House of Favourite Newspapers

Shoo Kali! Rich Mavoko Azindua Mini Tape Yake – Video

0

BAADA ya ukimya wa muda mrefu, Staa wa Bongo Fleva, Rich Mavoko, hatimaye ameamsha shangwe za mashabiki wake usiku wa Agosti 07, 2020 wakati akizindua Mini Tape yake katika ukumbi wa The Kimanjaro uliopo Posta jijini Dar es Salaam.

 

Mavoko ambaye awali alikuwa WCB kabla ya kuachana na lebo hiyo na kuanza kujitegemea, usiku wa kuamkia leo ameangusha bonge la shoo lililohudhuriwa na mamia ya mashabiki, wasanii wenzake wa Bongo Fleva wakiwemo Fid Q, AY na wasanii wa Bongo Movies.

Tazama balaa la Rich Mavoko

Leave A Reply