Shoo ya Bure! R.O.M.A, Nature, Man Fongo Kuharibu Jukwaa Dar Live

Global Publishers kupitia shindano la #TusuaMaishaNaGlobal imekuandalia Bonge la Shoo pale Dar Live Mbagala Zakhiem, ni kwa ajili ya kukushukuru wewe msomaji wa magazeti yetu.


Kwenye burudani sasa, jukwaani atakuwepo @romaa2030, @sir_nature, @manfongotz na wakali wengine kibao☝🏿 mambo ni moto ni fireee.🔥🔥 🔥🔥🔥🔥 🔥🔥. Kiingilio ni vumbi la miguu yako tu…. yaanini bureeeeee!

Washindi wa #TusuaMaishanaGlobal kukabidhiwa zawadi zao palepale jukwaani Live mchana kweupeeee…..! Washindi wawili wa Pikipiki, wataondoka nazo wakiwa wanaendesha wenyeweee…! Dinner Set, jezi, Headphones za beats by dre na zawadi nyingine za kumwaga.


Loading...

Toa comment