The House of Favourite Newspapers

Shoo ya Papii Kocha Escape One Baada ya Miaka 14 Kupita (Picha na Video)

Mwanamuziki Johnson Nguza maarufu kama Papii Kocha akiongea na umati uliofika Ukumbi wa Escape One uliopo Mikocheni Usiku wa kuamkia leo.
…Akitoa shoo ya nguvu.
Umati uliofika ukumbini hapo ukiendelea kupata burudani.

Baada ya miaka 14 kupita, mwanamuziki Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ usiku wa kuamkia leo alipiga shoo ya nguvu katika ukumbi wa Escape One ulioko Mikocheni, Dar es Salaam, ambako umati mkubwa ulipata burudani kubwa kutokana na umahiri wa mwanamuziki huyo.  Usiku huo ulikuwa ni usiku wanamuziki Nandy na Aslay kwa Wapendanao.

PICHA NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS

 

Comments are closed.