SHOO YA QUENN DARLEEN USIPIME USIKU WA KUSI (PICHAZ +VIDEO)

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya WCB, Queen Darleen akisalimia mashabiki katika Usiku wa Kusi Idd Pili ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo MBagala Zakhem jijini Dar.

…Akiimba moja kati ya nyimbo zake ndani ya Dar Live

…Akizungumza na mashabiki

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri akiwa chini ya Lebo ya ‘WCB’, ‘Queen Darleen’ amefanya shoo ya aina yake katika Usiku wa Kusi Idd Pili ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo MBagala Zakhem jijini Dar.

Toa comment