The House of Favourite Newspapers

SHOO YA RICH MAVOKO USIPIME TIGO FIESTA MWANZA VIBE KAMA LOOTEE

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Richard Martin maarufu kwa jina  la ‘Rich Mavoko’ akitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake Tamasha la Tigo Fiesta Vibe kama Lootee Mwanza.
Rich Mavoko akifanya yake.
Akiimba huku madensa wake wakiwa wamemnyanyua juu.

 

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Richard Martin maarufu kwa jina  la ‘Rich Mavoko’ usiku wa kuamia leo ametoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake katika Tamasha la Tigo Fiesta Vibe kama Lootee ambalo limefanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

 

Mashabiki zake walionekana wakimuunga mkono kwa kumshangilia wakati akiimba nyimbo zake ambazo mashabiki hao walionekana kuvutiwa nazo.

 

Comments are closed.