The House of Favourite Newspapers

Shuhudia Dogo Janja, Uwoya Walichokifanya Harusi ya Shilole – Picha + Video

Dogo Janja na mpenzi wake Uwoya wakinong’onezana.

STAA wa Muziki wa Mduara Bongo, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole au Shishi Baby usiku wa kuamkia leo amefanya sherehe ya harusi baada ya kufunga ndoa hivi karibuni na mpenzi wake, Uchebe.

Uwoya akiwatunza mkwanja maharusi.

Sherehe hiyo iliyofanyika Hekima Garden, Mikocheni jijini Dar es salaa, ilihudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo Jux na Vee Money, Dogo Janja na mkewe Uwoya ambao waliacha gumzo ukumbini hapo.

Akizidi kumwaga minoti.

Katika shughuli hiyo, Uwoya aliwamwagia minoti maharusi hapo kama alivyofanya Vee Money.

Minoti ikimiminika.

 

Full vicheko.

 

 

Uwoya na Janjaro wakifuatilia matukio ukumbini hapo.

 

Mambo si ndo hayo sasa.

 

Uwoya, kodo.

 

 

PICHA NA MUSA MATEJA | GLOBAL TV

SHUHUDIA WALICHOKIFANYA UWOYA NA JANJARO

Comments are closed.