Sikukuu Njema
MKURUGENZI Mtendaji wa Global Publishers Ltd, menejimenti na wafanyakazi wote, wanawatakia kila la heri Waislam na Watanzania wote katika kuadhimisha Sikukuu IDD EL HAJJI katika kuimarisha imani yao kwa Mwenyezi Mungu na kuongeza upendo baina yao na binadamu wengine duniani.