The House of Favourite Newspapers

SIMANZI: KICHANGA CHATUPWA CHOONI NA MAMA YAKE – VIDEO

Ukistaajabu ya Musa Utayaona ya Firauni!, hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la kustaajabisha lililotokea hivi karibuni ambapo mama anadaiwa kmtupwa chooni mtoto wake mchanga huku chanzo kamili kikiwa bado hakijafahamika.

 

Baada ya kupata taarifa juu ya kutupwa kwa kichanga hicho, majirani waishio karibu na eneo lililotokea tukio hilo, waliamua kubomoa choo hicho na kufukua kwa lengo la kusaka maiti ya mtoto huyo. Ambapo walifanikiwa kumkuta mtoto huyo na kuutoa mwili wake akiwa mzima wa afya na kupelekwa hospitali baada ya kukutwa na majeraha hasa usoni.

 

Tukio hilo linadaiwa kutokea mkoani Singida, bado tunaendelea kufuatilia kujua iwapo ni mkoa huo na hatua gani zimechukuliwa na vyombo vya dola.

Tutumie video ya tukio lolote ambalo limetokea hapo ulipo kupitia WhatsApp 0753 715 779 tutakulipa mkwanja papo hapo.

TAZAMA VIDEO YA TUKIO HILO

Comments are closed.