WAKATI Simanzi na majonzi vimetawala kwa Taifa zima kutokana na ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kiliyozama jana katika Ziwa Victoria, ndugu Yustus Mziray Majula Mlima ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Jang’ombe, Tarafa ya Ukara amedai kupoteza ndugu zake watano kutokana na ajali hiyo.
Ystus amesema amepoteza dada yake, aitwaye Ester Mkome Mrembwe wa Nyamanga, shemeji yake ambaye ni mke wa mdogo wake, Matatizo Mabiba, mdogo wake, Lameck Mabangida na watoto wake wawili.
Comments are closed.