The House of Favourite Newspapers

‘Simba Atampiga FC Platnum Bao 3 – 0 kwa Mkapa’

0


MCHAMBUZI wa masuala ya soka nchini, Abbas Pira, amezungumzia uzito wa mchezo wa wawakilishi wa nchi katika Klabu bingwa barani Afrika Simba dhidi ya FC PLatnum na kudai kuwa kwa mtazamo wake Mnyama Simba atapata matokeo mazuri ya magoli matatu (3) kutokana na wapinzani wao kutokuwa na kikosi cha kutisha.

 

”Simba watapata matokeo mazuri jijini Dar es Salaam kwani hawa jamaa FC Platnum ni wa kawaida sana. Kwangu mimi Simba atashinda magoli matatu Dar Es Salaam,” alisema Pira katika mahojiano.

 

Leave A Reply