The House of Favourite Newspapers

Simba SC Yamtambulisha Golikipa Mpya

0

Klabu ya Simba SC imemtambulisha Camara raia wa Guinea mwenye umri 25 ambaye amekuja kuongeza nguvu katika idara ya Golikipa kwa kuwa tunahitaji kufanya vizuri msimu ujao.

Camara ameshukuru Uongozi wa Klabu ya Simba kwa kumpa nafasi ya kuwa sehemu ya kikosi hicho kuelekea msimu mpya.

“Namshukuru Mungu kuwa hapa, pia nawashukuru viongozi wa Simba kunipa nafasi na kuamini kuwa naweza kuwa sehemu ya timu hii” Camara.

Leave A Reply