SIMBA Vs JS SAOURA: HALI ILIVYO UWANJANI MASHABIKI HAWASHIKIKI – VIDEO

Yamebaki masaa machache tu timu ya klabu ya soka ya Simba Sc iweze kushuka dimbani kuumana na Waarabu wa JS Saoura kutoka Algeria.

Mtanange huo utachezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, majira ya saa 10:00 jioni

Global TV imetia timu mapema uwanjani hapo kushuhudia hali ilivyo kabla ya mechi kuanza ambapo kikubwa tulichokishuhudia ni uuzwaji wa jezi za Simba huku mashabiki wakiwa wamejaa uwanjani hapo wakiwa tayari kabisa kwa ajili kuisapoti Simba yao.

Loading...

Toa comment