The House of Favourite Newspapers

Simba Waendelea Kumuombea Dua MO

 

Wanachama, Viongozi, Wadau wa Simba Mapema leo wamejumuika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la timu hiyo Khamisi Kilomoni kumuombea Dua Mwanachama Mwenzao na Mwekezaji wao Mohammedi Dewji ‘MO’.

Swala hiyo imefanyika Nyumbani kwake Kinondoni Block 41’ lengo kuu lilikua ni kumuombea dua Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi juu ya kupatikana kwake.

PICHA: MUSA MATEJA, GPL

Comments are closed.