The House of Favourite Newspapers

Simba Wapigwa 4G Ugenini na Kaizer Chiefs

0

MAMBO mabaya yamewakuta wawakilishi wa nchi katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Uwanja wa FNB ‘Soccer City’ uliopo Johannesburg nchini Afrika Kusini, leo Mei 15, 2021.

Simba wamefungwa bao 4-0 dhidi ya Kaizer Chiefs kwenye Uwanja wa FNB huku wakitarajia kurudiana Mei 22, katika Uwanja wa Mkapa uliopo Dar es Salaam.

Mabao ya Kaizer Chiefs yamefungwa na  Erick Mathoho 6″, Samir Nurkovic 34″, 57″, Leonardo Castro 63″

Simba sasa watahitaji ushindi wa mabao 5-0 kwenye mchezo wa marudiano utakaopigwa Jumamosi ijayo.

 

Leave A Reply